tufahamishane Member Joined Jun 22, 2024 Posts 28 Reaction score 30 Jul 1, 2024 #1 Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa kumuwajibisha? Aliye na majibu anijibu
Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa kumuwajibisha? Aliye na majibu anijibu