Chini ya utawala wa mi CCM, kuwajibishana ni ndoto kwani wote ni wale wale tu!!hakuna mwenye uchungu na mwananchi, ndio maana ukigusia katiba mpya kwao ni sawa na KUMSHIKA MAKALIO MAMA MKWE!!!Mama Samia tunasubiri hatua za kisheria na kinidhamu dhidi ya ubadhilifu wa fedha uliofanyika BOT. Majizi yamepiga mahela ndefu alafu mnakuja kutulea makodi rai maskini. Mungu anawaona...
Serikali ya wanyonge ashaondokanayo maguSi mlishakataa kuitwa wanyongwe?