Iko wapi single tourist visa ya East Africa?

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Any recent statistics on this? Zimeuzwa ngapi so far? How have the revenues been shared? Has it been beneficial to the CoW member states?
Najiuliza tu!
 
baada ya kama 8 years ndo tutajua kama tuli suceed ama fail. kwa sasa bado hauezi determine hata kama kuna faida nyingi sasa, nashuku hata hizo pesaa hazijaanzwa kugawanywa kwa hizi nchi tatu



lakini naona kuna hata watz wanazitumia!

 
Kafrican I was in a meeting and it was discussed how Kenya is hoodwinking CoW members. Ati statistics zilizotolewa na Kenya last year show Rwanda sold more visas than Kenya.........huo si uongo jamani? How many tourists touch down at JKIA? Compare that with Rwanda!
Ndio maana some of these East African projects should have waited for the establishment of such institutions as the East African Statistics Bureau. La sivyo tutaendelea kudanganyana mchana kweupe!
 
Mkija huku mlipe VAT.

Hatutambui hizo viza zenu.

Na msiite East Africa Tourist Visa kwasababu haihusishi wanachama wote.

Iiteni COW visa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…