Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Habari zenu wanabodi.
Kama mtakumbuka vizuri, mwaka 2017 Diamond alianzisha platform ya kuuza muziki ya kuitwa Wasafi Dot Com ambapo watu walitakiwa walipe kiasi cha 300 ili waweze kununua nyimbo za wasanii.
Sina uhakika sana nini kilitokea lakini hiyo platform kufikia sasa ni haipo.
Watu wanasikiliza muziki sana kupitia Boomplay, Youtube na platforms nyingine.
So my question is, what happened to Wasafi Dot Com?
Najua kutakuwa na wajuvi humu watakuwa na undani kuhusu hiyo platform.
Soma Pia: Spotify Vs Boomplay