kutokana na rais wa muungano kusimamia nchi mbili nazo nitanganyika na zanzibar.Je tutalazimika kuwa na ikulu mbili?maana nadhani kuwa na ikulu sehemu moja ya muungano sio haki.
angalizo: sisi huku znz kama rais wa muungano akitaka ofisi tunamjengea nyumba ya room 2 hatuna hela za kujenga gorofa, nyie watanganyika jengeni maana mna pato kubwa MSITUBEBESHE MIZIGO.