Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

😅😅😅😅😅
 

Attachments

  • IMG-20201206-WA0001.jpg
    36.3 KB · Views: 1
  • IMG-20201206-WA0001.jpg
    36.3 KB · Views: 1
😅😅😅😅😅
 
Baraza Hili Limedhihirisha mambo mawili

1) Ubaguzi
jinsia ; kanda ; dini ( halina usawa wa kitaifa)

2) Dharau
mfano kitendo cha zanzibar kutopewa waziri hakijawahi tokea tangu uhuru

Kubwa RAIS AMEDHIHIRISHA ANAJUA “USHINDI “ WAKE ALIVYOUPATA HIVYO HANA DENI KWA YEYOTE HATA WALE AMBAO KARATASI ZINAONYESHA WALIMPA KURA

kiongozi aliyepora ushindi kamwe hawezi kuheshimu yeyote zaidi ya waliomsaidia kuiba kura kama ma DED wenye viburi
 
Kwa jinsi Mkulu asivyowapenda kundi "Lile" hoja ya kubadilishana au kupokezana isahau kabisa
Basi Dotto Biteko all the way.

So sad kuona Mwingulu pekee kutoka CCM asili active kwenye Baraza la Mawaziri.
 
Haya Mambo ya udini na ukabila ni nonsense, serikali hii siyo ya dini fulani au kabila fulani, Rais anapofanya uteuzi kigezo kikubwa anachoongalia ni uwezo wa mtu katika utendaji kazi. Mawaziri wengi kuwa wakristu ni coincidence tu.

Haya Mambo ya udini hayana maana kuyajadili katika level hii, kiongozi awe muislamu awe mkristu ni kiongozi tu. Akiwa muislamu hateuliwi akawe Shehe, au mkristu hateuliwi akawe mchungaji, anateuliwa akaongeze watu wote kwa mujibu wa sheria na katiba.
 
Kwani uongo mkuu, Waislamu wengi wlithamini elimu ya dini wakapuuza elimu ya dunia, wakati huo wenzao wakristu kila walipojenga kanisa walijenga na shule. Ndo maana shule nyingi zilizotaifishwa baada ya Uhuru zilikuwa za mission.
Hivyo visingizio vimepitwa na wakati. Simu hizi mambo yamebadilika. Mimi binafsi nawajua waislamu wengi wenye elimu za juu.
Kusema eti Tanzania nzima kulikuwa na waislamu 3 tu waliofaa kuwa mawaziri ni kuwakosea heshima waislamu.
 
Kuchaguliwa takriban 3% ya waislamu kwenye baraza la mawaziri haikuwa confidence.
 
Bavicha wako bize kujadili baraza la mawaziri.
Silinde na katambi waliona mbali wakaachana na ujinga
hawakuwa na mvuto hao maana hakutakuwa na wapinzani so mbwembwe za kujibu wapinzani hamna. in short hakuna jipya
 
Hao wachache bado ni watanzania na wote tunahaki sawa.. uzuri wapagani elimu ipo ya kutosha
Mimi naongelea kuhusu waislamu ambao ni wazi wametengwa kwenye uteuzi wa mawaziri. Lakini kama wapagani wapo Tanzania nafikiri pia ingekuwa vizuri nao wakapewa nafasi
 
uwaziri sio sadaka/zawadi bali ni mzigo/majukumu mazito ya kuwatumikia watanzania zaidi ya 60million, ukitazama kwa jicho hilo sidhani kama utashangilia wala aliye kosa kamwe hawezi kulalamila, ukimuona mtu analalamika kwa kukosa uteuzi wa uwaziri basi jua kuwa huyo alikuwa na malengo binafsi ya kujinufaisha yeye sio watanzania na ukimuona yeyote anashangilia kwa kupata uteuzi basi ujue kuwa huyo haendi kuwatumikia watanzania zaidi ya tumbo lake na ndugu,
 
Jana baada uteuzi wa Mawaziri na Manaibu hizi ndio wizara zilizopata perfect Combination. Na kwa hakika zitaperform to the Maximum

1. Wizara ya Kilimo
2. Wizara ya Afya
3. Wizara ya uwekezaji.
 
Hivi huyu mama anaitwa Anastasia James Wambura hajapewa nafasi mwaka huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…