Pole wewe Timu force kingi covid 19Hahahahaha
Pole Kamanda wa Chadema, Team ICC
Wa pesa si tayari tokea siku ile au wa pesa kahamishwa?Kimei waziri wa pesaaaaa
Mwana Fa naibu sanaa(basata watamkomaje)
Utabiri tu
Pole wewe Timu force kingi covid 19
Bila Shaka Yoyote AnajuaMwambieni JPM kuna mechi ya simba afanye faster au hajui?
Anaongeza subs kwenye timu ya kwenda The Hague.Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
Ahaaa,unacheka huku unajitekenya,bangi na konyagi mbaya sana.Ha ha ha ha ha
youtube
Kimei waziri wa pesaaaaa
Mwana Fa naibu sanaa(basata watamkomaje)
Utabiri tu
Ni jambo jema!Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
Nakubaliana nawe - anaweza kupewa post ya kusimamia mapato ya Daraja la Kamanga - Busisi.Safari hii Pasco Mayalla asipopata nafasi ya kuteuliwa, huenda hatapata tena kuteuliwa.
Wewe unaonekana si mfuatiliaji wa habari.Kimei waziri wa pesaaaaa
Mwana Fa naibu sanaa(basata watamkomaje)
Utabiri tu
Mkuu wachagga watabaki kuwa wachagga. Fanya ufanyalo pinduka Kimei anaingia Cabinet.
Huu ndio muda wa kuondoka sebuleni na kujipumzisha nje.
Hili baraza kila mwaka atakuwa anateua na kutengua, maana dhuluma iliyofanyika haitamuacha mtu salama, hakia Mungu wa kisasi yupo,Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020