Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika

Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu

1.jpg
2.jpg
 
Chadema ni chama kubwa ndio maana wakifanya jambo kila mtu atajua, ACT hawana impact yeyote.
 
nyie ACT si ni ma snitch mnao julikana?, kwani hata Enzi zile za utawala uliopita si mlikuwa mnafanya vikao vya siri na na jiwe? vikao vyenu vya siri vina tija gani kwa taifa hili, mnafikiri hatujui?
 
Kelele kama???
Kufanya masungumzo na mama skuizi Ni ufahari. Au nisehemu ya kiki???
 
Snitch ameenda kuvuruga juhudi ambazo chadema imefanya kuirejesha demokrasia[emoji23]
 
Act ni tawi la chama cha mashetani inatumika kuharibu siasa nchini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa sasa tume huru kwanza Katiba mpya baada ya 2025 huo ndiyo msimamo wetu ACT Wazalendo.

Ghafla bin vuu baada ya CCM kusema katiba mpya na wao wanasema wanaunga mkono wazo la CCM kwamba watanzania wanahitaji katiba mpya

Hivi ndivyo vyama vyetu Tanzania.
 
nyie ACT si ni ma snitch mnao julikana?, kwani hata Enzi zile za utawala uliopita si mlikuwa mnafanya vikao vya siri na na jiwe? vikao vyenu vya siri vina tija gani kwa taifa hili, mnafikiri hatujui?

Nyie vya kwenu vina faida gani?
 
Attachments

  • 20220622_222705.jpg
    20220622_222705.jpg
    46.1 KB · Views: 6
  • 20220130_104611.jpg
    20220130_104611.jpg
    13.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom