Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwani mwana umoja na kuwa msemaji wa act,ni wapi na wapi,pia ajue hiyo chadema anayoionea wivu sio saizi yake.Muuza Kangala Unaiwaza sana chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.
Hv ukipiga picha na Rais ni lazima ufunge mikono yako kwa mbele!!?Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika
Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
View attachment 2275462View attachment 2275463
Act ni sehemu ya serikali ya Zenji halafu unasema haina impact..?Chadema ni chama kubwa ndio maana wakifanya jambo kila mtu atajua, ACT hawana impact yeyote.
nyie ACT si ni ma snitch mnao julikana?, kwani hata Enzi zile za utawala uliopita si mlikuwa mnafanya vikao vya siri na na jiwe? vikao vyenu vya siri vina tija gani kwa taifa hili, mnafikiri hatujui?
Nasemea vyama vya upinzani sio vyama shikizi.Act ni sehemu ya serikali ya Zenji halafu unasema haina impact..?
Cdm mmejipa hatimiliki ya upinzani.
Act pia ni chama cha upinzani maana sio sehemu ya serikali ya JMT.Nasemea vyama vya upinzani sio vilivyo ndani ya serikali
Zanzibar?Act pia ni chama cha upinzani maana sio sehemu ya serikali ya JMT.
Huko hakikufanyi Act kuwa chama tawala huku bara.Zanzibar?
ACT imeatamia wanachama wa CUFHuko hakikufanyi Act kuwa chama tawala huku bara.