Ambaye sio Mbunge (mwenye majukumu tayari) hata kama ni mbunge bora peleka yes Mam sio mtu anayeonekana kupinga / critical. Bila mawazo kinzani hatuwezi kujenga..Nani alistahili kuwa Balozi Malawi?
Yah right .... na kilimo cha Bangi kimehalalishwa ......!!Aende "akaifungue" nchi Malawi.Halafu,kule wanalima sana tumbaku.Itamsaidia anapotaka ku-buy buy tme.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
- WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe
Maisha yanaenda kasi sanaa. Kama Mh Polepole alipata Division Zero form Six. Lakini ameshashika vyeo kibao katika nchi. Kweli kusoma sio kufanikiwa.! Kufanikiwa ni kukaa karibu na wakubwa tuu..!Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
- WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe
Mpaka anatengenezewa zengwe, sisi wazalendo tumeshafahamu Polepole ni mtu makini na mwenye maono. Anaandaliwa kuwa Rais wa JMT. Mark my words!Hamna issue ya njaa wala nini hapo?.
But wale wazee wa kashfa pamoja na kwamba Polepole anatengezewa zengwe ili kum_dust swali NI NANI ANATAKIWA KUWA BALOZI MALAWI?
Ametia msimamo havai barakoa pamoja na boss wake kuvaaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
- WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe
Si kuna mtu kasema huyo PolePole hataapishwa
Hivi mabalozi huwa wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?
OKSijui ila hata kama ingekuwa ni promotion huoni kwamba ingekuwa ni kama Rushwa ya kumziba mdomo..., no matter how you look at this, it stinks.... (Unless ni coincidence kwenda huko na sio sababu anapinga)
Wivu tu! Sifa kubwa ya Wabongo wengi ni husuda, wivu, na chuki. Away with it!Si kuna mtu kasema huyo PolePole hataapishwa
Wanasema kusoma siyo kuelimika na wala kuelimika siyo kusoma, kuna watu wangesoma huenda wasingekuwepo duniani hivi sasaKama Mh Polepole alipata Division Zero form Six. Lakini ameshashika vyeo kibao katika nchi. Kweli kusoma sio kufanikiwa.!
Kwamba ulitaka agome kuapishwa ili upate mada ya kuanzishia uzi JF, au?pole pole kazinguaππππ
Slow slow kama amehuzulia uapisho basi kakubali kujimaliza
Ataenda huko then baada ya muda mfupi anaondolewa
Duh basi mabalozi wa Huko duniani wanakula mema SanaNasikia wao wanakula kulingana na urefu wa PANGA kwenye nchi husika!
ExactlySlow slow kama amehuzulia uapisho basi kakubali kujimaliza
Ataenda huko then baada ya muda mfupi anaondolewa
HhahahahaaaaNimeamini division zero sio za kudharau hovyo hovyo kuna division zero ni vichwa
Mfano Freeman Mbowe alipata division zero form six
Humphrey Polepole pia alipata division zero form six