Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

Aende "akaifungue" nchi Malawi. Halafu, kule wanalima sana tumbaku. Itamsaidia anapotaka ku-buy buy tme.
Alikuwa ni mpinzani mkubwa wa NJIA ZA MAPAMBANO DHIDI YA KORONA! Alipinga kuchanjwa chanjo!
Sasa, sijui huko Malawi, ataingia BILA CHANJO!!!!?
 
Polepole KICHINEH..
 
Ila kiukweli kwa hili mama kacheza kuliko Pele. Bora Nchimbi umri kidogo umesogea ila Polepole bado mdogo sana kufichwa na siasa za ndani. Akitoka huko hatokuwa na touch yeyote na siasa za ndani!

Samething happened to Nchimbi! Nchimbi akirudi awamu ijayo hata ofisi za Lumumba hatojua zilipo [emoji56]
 
Hivi ni vigezo gani vilitumika kuchagua watu wa kuvaa barakoa na wale ambao hawakuvaa hapo ukumbini?

Kuna mama mmoja hakuvaa barakoa na wa wanaumme wawili hawakuvaa barakoa.
 
Ila'malawi hata coster hamna Kuna vihiace - Mazda ndio daladala boda boda zipo Lilongwe tu.....


Ccm ...wanaijua french style ya draft
 
Haya mambo ya kuheshimu mamlaka ndio hutengeneza maraisi miungu huku afrika. Raisi anapaswa kupingwa ndani na nje ya chama.
Hiyo ndio demokrasia.
Kutokana na mapungufu yaliyopo hasa yanayoonekana kwa walio nje ya mfumo, ni ngumu kuweka katiba inayoweza kumsema ovyo rais na hakuna rais atakaye kubali litokee hilo kisa kuwaridhisha raia huku yeye akiwajibishwa.

Maybe litokee vuguvugu la wananchi kuchoka na kuwa tayari kwa lolote, siku ambayo hata jeshi la wananchi siyo la polisi watakaposema wapeni wenye nchi wanachotaka, hapo ndipo inaweza kuja nchi mpya na mabadiriko ya kweli, ila kwa hii movie it shows harder!.
 
Haya mambo ya kuheshimu mamlaka ndio hutengeneza maraisi miungu huku afrika. Raisi anapaswa kupingwa ndani na nje ya chama.
Hiyo ndio demokrasia.
Yuko mkubwa mmoja alitaka kuleta demokrasia ndani ya chama chake eti nyapara naye ashindanishwe na wengine. Kufumba na kufumbua kajikuta amekunywa cocktail.
 
Anaenda kukalishwa chini kupigwa mkwara na 'professionals' then ndiyo akaonane na 'taasisi ya urais'.
Nimeusikiliza kwa makini huo mkwara na umenitafakarisha sana.

Nimebaini bi Samia akitoa sauti ya 'authority' wakati anayatamka hayo maneno.
Tatizo la wanasiasa ni kuwaona wenzao hawajui kuliko wao, huyu mama kipindi akiwa chini ya Magufuli alitaka ku_resign ila kwa hekima mzee baba na watu fulani akarudi, hakuna sehemu inaonyesha entice management ambayo leo wanafanyiwa yatima!.
 
Huu ndio mchezo wa mahesabu ya kisiasa kuelekea 2025.

Kwa wale msiojua tu ni kuwa, Mikataba ya ajira za mabalozi ni miaka minne minne, hivyo mkataba wa Pole Pole utaisha 2026, wakati huo mama Samia anaweza akawa yuko muhula wa Pili wa urais wake ikiwa atashinda uchaguzi 2025. Lengo haswa la Pole Pole kupewa ubalozi ni kufungwa mdomo, miguu na akili, cheo cha ubalozi kinamfunga kwa 99%. Hiyo ndio imeisha.
 
Balozi ni mwakilishi wa nchi,rais...jamaa huwa wana maisha....
Kama ndio hivyo bora tu ajenge maisha yake yawe stable sana siasa hizi ni uchafu mtupu,
Apate maisha hata akitoka hapa aishi bila kutegemea siasa.
 
Punguza hasira ili uweze kuandika vizuri mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…