Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni PhD fekiNaona Majina yao hajaanza na Dr.
Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
Haipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukumaShida yako ni nini?
Basi tulia mkuu,kila jambo na muda Wake..ukifika wakati wataitwa tu hayo majinaHaipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukuma