L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 Jan 8, 2022 #1 Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Jan 8, 2022 #2 Lihove2 said: Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili Click to expand... Hizi ni PhD feki
Lihove2 said: Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili Click to expand... Hizi ni PhD feki
Michosho JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 662 Reaction score 649 Jan 8, 2022 #3 Shida yako ni nini?
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 Jan 8, 2022 Thread starter #4 michosho said: Shida yako ni nini? Click to expand... Haipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukuma
michosho said: Shida yako ni nini? Click to expand... Haipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukuma
Michosho JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 662 Reaction score 649 Jan 8, 2022 #5 Lihove2 said: Haipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukuma Click to expand... Basi tulia mkuu,kila jambo na muda Wake..ukifika wakati wataitwa tu hayo majina
Lihove2 said: Haipo shida mkuu.ni heshima tuu kwa wasomi wetu.PhD siyo level ya kawaida.labda zile za akina msukuma Click to expand... Basi tulia mkuu,kila jambo na muda Wake..ukifika wakati wataitwa tu hayo majina
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jan 8, 2022 #6 Hizo PhD zao ndio watabuni ajira?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 8, 2022 #7 PhD Ya Joseph Kasheku