Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Ikulu imesafishwa kwa 97% Mhe Rais malizia 3% iliyobaki.
Mhe. Rais umeamua kusafisha nyumba yako nyeupe yaani mahali patakatifu Ikulu ni bora usafishe yoote, Mhe. Rais Dr. Samia tumeona umeondoa karibu 97% ya wasaidizi wako Ikulu lazima kuna kitu ulikiona why? Umemuacha Waziri Salum Warsam, huyu ndiye analipeleka Taifa, yeye kwake kuhonga Pesa Ni kitu cha kawaida, amekuwa akichota pesa na kuzigawa Hovyo, anzia kwenye DP-world kulikuwa hamna ulazima.
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Warsam Mzee wa majivuno, majigambo yeye ndiye anatoa connection ya kina Rostam Aziz anataka kila Biashara iwe ya Rostam Aziz kuanzia kilimo, madini na sasa gesi asilia kule Mtwara.
Mhe. Rais Dr. Samia kama ni usafi Ikulu safisha wote, anza upya ili uone mabadiliko, sasa ukisafisha ukaacha virusi umekwisha maliza wote bado wawili watatu ondoa.