Wakati serikali ya awamu ya Tano imeingia madarakani, raisi wa wakati ule kila alipopanda majukwaani alikuwa anajibizana na mitandao ya kijamii na baadae walijitokeza wazalendo wa kujibizana na mitandao.
jambo hili linajirudia katika awamu ya sita, tunaona jinsi Raisi wetu anavyojaribu kujibu hoja za kwenye mitandao kama vile alivyosema kule Arusha kuwa wanasema kamuambikiza Makamu wa Raisi wa Marekani
Hii inatupa picha kuwa kuwa kitengo pale ambacho kinafanya kazi ileile ya kumuweka bize raisi wetu kwa mambo ya mitandao na baadae wanaibuka na wazalendo wa kumsemea raisi