ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hiki sio kipaumbele kwa raia wengi, hizo ikulu mbili za Dar na Dodoma zinatosha sana. Raia shida yao kubwa ni umeme wa uhakika, maji, huduma za afya na kudhibitwa kwa mfumuko wa bei, pesa zipelekwe kushuvhulikia mambo haya kwa sasa.Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya.Kwa kuwa tunayo matumizi lukuki ya anasa mfano manunuzi ya v8 basi tuweke na kipaumbele hizi ikulu sio ikulu inazungukwa na Majengo ya watu binafsi ya maana wakati serikali inazo ofisi nyingi tu kwanini ishindwe mikoani na hazizidi 20 ambazo hazina hadhi.
HIvi kweli hiki ndicho kipaumbele kwa sasa? Nyumba yenyewe inaweza maliza Miaka 10 bila mgeni wa kulala.Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya.Kwa kuwa tunayo matumizi lukuki ya anasa mfano manunuzi ya v8 basi tuweke na kipaumbele hizi ikulu sio ikulu inazungukwa na Majengo ya watu binafsi ya maana wakati serikali inazo ofisi nyingi tu kwanini ishindwe mikoani na hazizidi 20 ambazo hazina hadhi.
Ni matumizi mabovu ya pesa za umma, Rais mwenyewe anakuja mara baada ya miaka 5 au zaidi, zivunjwe ziwe hostel Rais akija akalale lodgeKuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.
Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya.
Kwa kuwa tunayo matumizi lukuki ya anasa mfano manunuzi ya v8 basi tuweke na kipaumbele hizi ikulu sio ikulu inazungukwa na Majengo ya watu binafsi ya maana wakati serikali inazo ofisi nyingi tu kwanini ishindwe mikoani na hazizidi 20 ambazo hazina hadhi.
Mimi kwa maoni yangu zisiwepo kabisa kwasababu ni upotevu wa kodi zetu.Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.
Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya.
Kwa kuwa tunayo matumizi lukuki ya anasa mfano manunuzi ya v8 basi tuweke na kipaumbele hizi ikulu sio ikulu inazungukwa na Majengo ya watu binafsi ya maana wakati serikali inazo ofisi nyingi tu kwanini ishindwe mikoani na hazizidi 20 ambazo hazina hadhi.
Hoja ilivyokuwa tamu naona niiunge mkono tu🤝Ni matumizi mabovu ya pesa za umma, Rais mwenyewe anakuja mara baada ya miaka 5 au zaidi, zivunjwe ziwe hostel Rais akija akalale lodge
Kwasababu ya yale mandhari yaki apocalypto..?😀😀Huwezi jua ndani zipoje mkuu
Ile ya Arusha imetulia nimeipenda
Tuna nchi ya hovyo snHoja ilivyokuwa tamu naona niiunge mkono tu🤝