Ikulu ni Makao Makuu ya Serikali ipi?

Nsibwene

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
227
Reaction score
160
Je, ikulu ya Chamwino ni ya Tanzania, je ina maana Tanganyika imezikwa, au kama sivyo ikulu yake itajengwa wapi?
 
Maana Zanzibar imepewa nafasi awamu ya pili
 
Vp nikiomba mnipatie chumba ikulu napata mhna sinamagripakuishi et
 
Serikali za mpito wala haziumizi kichwa asione waku wanamwangalia huko nchini Cuba
 
Tanganyika alishaizika nyerere miaka
50 nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…