Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana.
Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa ajili ya safari, burudani, na malipo ya mishahara.
Kwa mujibu wa bajeti ya nyongeza iliyowasilishwa bungeni na Wizara ya Fedha, KSh5 bilioni (TSh95.5 bilioni) hizo ni sehemu ya bajeti ya nyongeza ya KSh85.8 bilioni (TSh1.64 trilioni) ambayo wizara hiyo inatafuta kwa mwaka wa fedha unaomalizika Juni 2025.
Mgawanyo wa KSh5 bilioni (TSh95.5 bilioni) ni kama ifuatavyo:
Ikumbukwe kuwa ongezeko hili la matumizi linakuja wakati serikali ya Kenya inahimiza ‘hatua za kubana matumizi’ ili kukabiliana na ukosefu wa fedha pamoja na kufutwa kwa Finance Bill 2024 uliokuwa na lengo la kuongeza KSh345 bilioni (TSh6.6 trilioni) za mapato ya serikali.
Aidha, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga ni miongoni mwa wanufaika wa bajeti hiyo ya nyongeza ya KSh85.8 bilioni (TSh1.64 trilioni).
==========================================================
State House, and the executive offices of the Deputy President and Prime Cabinet Secretary have been allocated an extra KSh5 billion for travel, entertainment, and payment of salaries.
According to a supplementary budget presented by the National Treasury in Parliament, the KSh5 billion allocation is part of a KSh85.8 supplementary budget the ministry is seeking for the fiscal year ending June 2025.
The breakdown of the KSh5 billion is as follows:
State House to receive KSh3.8 billion, covering an unexplained expenditure of KSh1.5 billion, KSh732.2 million for domestic travel, KSh700 million for salaries and perks, and another KSh312.4 million for car maintenance.
Deputy President's Office to receive an additional Sh420.4 million for salaries and travel, while the Prime Cabinet Secretary's Office to receive an extra KSh133.4 million.
This increase in recurrent expenditure comes at a time when the government is advocating for 'austerity measures' to address a cash crunch caused by below-target tax collections and the withdrawal of the Finance Bill 2024, which had aimed to raise an additional KSh345 billion in revenue for the government.
Further, retired President Uhuru Kenyatta and former Prime Minister Raila Odinga are among the beneficiaries of the KSh85.8 billion expanded budget under this supplementary allocation
Source: Buzzroom Kenya

- Ikulu imepangiwa KSh3.8 bilioni (TSh72.6 bilioni) ambapo kati ya pesa hiyo kuna takriban KSh1.5 bilioni (TSh28.7 bilioni) ambazo hazina maelezo zinaenda kufanya nini, KSh732.2 milioni (TSh14 bilioni) kwa safari za ndani, KSh700 milioni (TSh13.4 bilioni) kwa mishahara na marupurupu, na KSh312.4 milioni (TSh6 bilioni) kwa matengenezo ya magari.
- Ofisi ya Naibu Rais imeongezewa KSh420.4 milioni (TSh8 bilioni) kwa mishahara na safari.
- Ofisi ya Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri imeongezewa KSh133.4 milioni (TSh2.5 bilioni).