IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam πŸ‡»πŸ‡³

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.

 
Kumekucha karibu balozi wa watu wa Marekani.

Amefika wakati muafaka kabisa kuwakilisha maslahi mapana ya watu, serikali na nchi ya Marekani hapa Tanzania.

Marekani kama kaka mkubwa na pia mjomba wa nchi nyonge ambaye hasiti kutetea demokrasia, uhuru wa kupashana habari na utu wa mtu hatasita kufanya ushawishi hali hiyo itamalaki nchini Tanzania.
 
Kumekucha karibu balozi wa watu wa Marekani.

Amefika wakati muafaka kabisa kuwakilisha maslahi mapana ya watu, serikali na nchi ya Marekani hapa Tanzania.
Amekuja kuangalia uchaguzi mtakavyouendesha ili mkizingua mnyolewe vizuri kifupi ni gud timing
 
Mmarekani kaingia na barakoa, kufika ndani kwa Mzee Baba kaivua ye pamoja na wenzake wawili [emoji23][emoji23][emoji23]
Watampelejea taarifa Trump kuwa Tanzania Corona hamna tumeingia na barakoa Ikulu wakawa wanatushangaa sababu hamna mwenye barakoa

Na Bila Shaka wameona mitaani kote walikopita wananchi hawana barakoa

Watatusaidia kukanusha uongo wa balozi aliyeendoka ambaye kutwa Alikuwa akipeleka taarifa za uongo Washington

Lisu naye alikuja na ushamba na kibarakoa chake akijiona anajuaaaaaa!!! Kufika airport akijiona super hero kashangaa wanaompokea hakuna aliyevaa barakoa .Kwa aibu akalivua huku wengine wakimshangaa na kumzomea yeye na mkewe kwa kuvaa barakoa .Wakiwaona Ni washamba Fulani hivi
 
"Beberu" kaingia anarushwa karibu na TV zote.
 
Hawa ni wenzetu tunatengeneza ndege kwao kwa fedha taslim
 
Sina hakika Balozi wa TZ akipokelewa USA, taarifa yake itakuwa ktk hardnews magazeti siku ya pili.Sisi huku eti mubashara!?

Lazima serikali ya CCM Mpya ijipendekeze kwa kaka mkubwa na mjomba wa nchi masikini kama yetu inayopokea misaada kibao toka kwa Hisani ya Watu wa Marekani.
 
JPM ni bingwa wa diplomasia ya kiuchumi Tanzania bado inahitaji huduma yake kwenye nafasi ya urais
 


Tatizo kesho tu tatawaita mabeberu wakati wametoa $600M kusaidia, Afya, Kilimo na Lishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…