BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Vincent Magwenya, Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa amesema tuhuma za kuficha Mabilioni ya Fedha shambani kwake zikithibitishwa kuwa na ukweli Rais atawajibika.
Hata hivyo amemtetea kwa kusema kuwa "Kwa hali ilivyo hakuna mashtaka ya jinai dhidi ya Rais, mnachokisikia ni msururu wa taarifa za uchunguzi na Rais anashirikiana nao kikamilifu na ataendelea kufanya hivyo."
Ramaphosa anatuhumiwa kwa Utekaji Nyara, Hongo na Matumizi Mabaya ya Sheria kwa kuagiza kukamatwa kwa watu walioiba Tsh. Bilioi 9 kutoka kwa shamba lake, ingawa amekanusha madai hayo.
========================
South Africa's President Cyril Ramaphosa will "step aside" if charged over an alleged cover-up of a robbery at his private farm, according to his spokesman.
"Should the president be charged he would gladly step aside - should it be the case," presidential spokesman Vincent Magwenya told journalists.
He added: "But as things stand there are no criminal charges against the president. What you have is a series of investigations that he's fully co-operating with and he will continue to do so."
Dubbed "farmgate", the controversy surrounds the robbery at Phala Phala farm back in February 2020 and the alleged aftermath.
The theft was allegedly committed by Namibian nationals who conspired with a domestic worker at the farm.
The president is accused of kidnapping, bribery and acting unlawfully by allegedly authorising the pursuit of the suspects who stole an estimated $4m (£3.2m) from his farm. He denies any wrongdoing.