Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
ikulu.png
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.

Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.

Chanzo: RFA magazeti
 
Mnaonekana kugopa kivuli cha dr slaa,vipi akiingia madarakani si mtakunya mkaa?.dr ndiye rais wako kuanzia octoba.
 
Mbona wapo waliokuwa na kifafa na wakadumu katika nafasi zao bila shida na hakuna aliyewahi kuwanyanyapaa. Maneno ya mtu kama Lusinde ni bora kuyachunguza sana kabla ya kuyafanya nukuu kwani yanaweza kuwa na damage upande wake bila yeye kujua
 
Wogonjwa wengi wapo kijani jamani pale ikulu wapo na hata mawaziri wengi ni vimeo huyo lusinde sijawahi kusikia akichangia hoja ya kutetea wananchi siku zote huchangia ujinga tu na mipasho.
 
Dr Slaa anaumwa ugonjwa mbaya sana kumpa Ikulu ni kuhatarisha amani nchini kwani anaweza kuleta taharuki isio na ulazima.
 
Lusinde kasema kweli mzee slaa kachoka sana anafaa kukaa na wajukuu tu kwa sasa kama anao.
 
Hakuna alie ona kesho,wala mtu asikae akadhihaki afya ya mwenzie kwani yote hiyo iko mikononi kwa mwenyezi mungu.
Hao wenye pesa na madaraka wengi wao wanakula dawa kama si ya BP basi ya maradhi mengine,wanalala pazuri wanakula vizuri lakini furaha ya nafsi hawana,usingizi mie na wewe tutalala kwa amani lakini wao usingizi mpaka ameze DAWA....
 
Dr Slaa anaumwa ugonjwa mbaya sana kumpa Ikulu ni kuhatarisha amani nchini kwani anaweza kuleta taharuki isio na ulazima.

mkuu hivi mzee slaa anaumwa ugonjwa gani?
 
Lusinde ni kichaa. Kuleta hapa kauli za vichaa ni kujidhalilisha mleta uzi.

By the way ile kesi ya wizi wa simu kibaha iliishaje?
 
NYIE NDO AMJAELEWA ILO NI DONGO KWA EDWARD LOWASA. KILA MTU ANAMFAHAMU. . UYU LUSINDE KIBAJAJi NI TEAM MEMBE
 
Back
Top Bottom