Ikulu ya Rais Assad yavamiwa, Samani zaporwa

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad.

Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu.

Kufikia wakati tunafika, mahali hapo palikuwa karibu patupu isipokuwa vipande vya samani.

Wafuasi wa kundi la waasi la HTS wamefika kudhibiti hali, wamesema hili halikubaliki.

Nimeishi Syria kwa miaka 10 na sijawahi kuingia katika mtaa huu. Ninaweza kuona watu wakikimbilia mahali hapa kwa kulipiza kisasi na pia wakiwa na furaha nyingi baada ya kufanikiwa kuvunja.

Kumekuwa na uporaji katika majengo mengine ya serikali lakini hii ni hali tofauti. Watu wanaingia, wakipiga picha huku wakichukua wawezavyo.

Wanalipiza kisasi kwa miaka mingi ya ukandamizaji na umaskini kwa sababu ya Assad na baba yake.

Chanzo: BBC Swahili
 
Samani ni kitu gani ? Sisi wengine labda kiswahili chetu ni cha vijijini
 
Back
Top Bottom