Ikulu ya Tanzania

ni pakawaida tu ...lakini hapo ndipo mipango na ratiba zote za nchi zinatoka na ndipo ambapo wananchi waweza kuneemeka au hapana kupitia aina ya kiongozi aliyemo ndani....
 
sehemu yenyewe ya kawaida tu ila inawatoa udenda wakina slaa and company!
 
Kwani ninyi hamuoni lowasa mpaka Leo anapatamani.......
Hata macmm wote wanaendelea kupatamani mpaka wanafanya mauaji ya kikatili kisa hapo ikulu
 
sehemu yenyewe ya kawaida tu ila inawatoa udenda wakina slaa and company!

JULIUS KAMBARAGE NYERERE, "IKULU NI MAHALA PATAKATIFU" ( makofi vigelegele vifijo na shangwe) mkutano maalumu wa mwl nyerere na waandishi wa habari.
Nimeishi ikulu zaidi ya miaka 20 na kwa utaratibu uliopo sasa hakuna kiongozi atakaye ishi ikulu kwa mda mrefu kama mimi. " Julius Kambarage"
 
Mkuu kwani hayawezi kuvunjwa kibabe hayo malango? mimi nachojua hii nchi ina uhuru kamili na kama hiyo mikataba iliwekwa basi iwekwe hadharani!
Mimi kipindi naichukua nchi uchaguzi ujao sitaki discussion!
 
Enzi za mwalimu tulikuwa tunakatiza tu pale tulikuwa tunatokea kulee chini kwenda kigamboni. Mzee ruksa akapiga UKUTA!
Kulikuwa na senyenge bana, bila ya hivyo wale wanyama wangekuwa wakiranda randa maeneo yale.

Hilo Jina Ikulu limetoka wapi na maana yake halisi ndio Nyumba ya Raisi?
Jina Ikulu linatokana na neno la kibantu "makulu" (kigogo) yaani nyumba anayoishi mtemi (chifu).
 
Kulikuwa na senyenge bana, bila ya hivyo wale wanyama wangekuwa wakiranda randa maeneo yale.

Jina Ikulu linatokana na neno la kibantu "makulu" (kigogo) yaani nyumba anayoishi mtemi (chifu).
Nilishasahau kabisa kama nilishawahi uliza hilo swali lol
 
Ikulu ilikuwepo tangu utawala wa wajerumani na walikuwa wanaitumia kama ofisi yao
 
Kulikuwa na senyenge bana, bila ya hivyo wale wanyama wangekuwa wakiranda randa maeneo yale.

Jina Ikulu linatokana na neno la kibantu "makulu" (kigogo) yaani nyumba anayoishi mtemi (chifu).
Neno la Kinyamwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…