Hivi utaratibu wa Rais Kuzungumza kila Mwisho wa Mwezi umeishia wapi?Au Salva naye yuko MisriTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tarehe 01 Julai, 2008 siku ya Jumanne tunatoa taarifa ya kuahirisha Press Conference
mpaka hapo mtakapo taarifiwa vinginevyo. Upatapo ujumbe huu naomba utoe taarifa kwa
yeyote anayehusika.
Ahsante na Kazi Njema.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
ikulu,
DAR ES SALAAM.
Last month where was he??? tumsubirie akirudi basi tuone kama ataongea!Hii inaeleweka Rais yuko Misri