Ikumbukwe kwa Sasa watu wenye stress ulimwenguni ni mashabiki wa Manchester United

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
kutokana na mapito inayopitia na dozi ya sonona inayogawa kwa mashabiki wake naomba hii timu nayo iongezwe TU kwenye kundi la WATU MAALUM yaan special group Kama walemavu wajane na watu watu wa aina hyo Hadi pale itakapo tengemaa

Ikumbukwe kwa Sasa watu wenye stress ulimwengun n mashabiki wa man u wanafuatia raia wa Ukraine

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwanitesa united, wana huzunisha kwa kweli na kwa mechi zilizo mbele yao, kazi wanayo
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Maniyuu hawana stress Wala hayo Ni maisha yao ya kawaida. Ingetokea kwa YNWA au Chelsea ndiyo watu wangewaza
 
Man Utd Kwasasa Haina Wachezaji Na Wamekuwa Hawana Jicho La Usajili...Sajili Zinafanyika Bila Malengo Mfano Kama Usajili Wa Van Dee Beek Mchezaji Anasajiliwa Aje Kukaa Benchi Na Akina Mata [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…