Rudia tena mwaka gani?
1998 ligi ya mabingwa afrika ilipoanzishwaRudia tena mwaka gani?
Huyo jamaa hamnazo kabsa, bila shaka nayeye si ridhiki
Lete matako uone kama sio ridhiki.Huyo jamaa hamnazo kabsa, bila shaka nayeye si ridhiki
-
Lazima utakuwa Chakula wee si kwa kulembua hukoLete matako uone kama sio ridhiki.
Nyie yanga mbona miaka yote mmeshindwa kufika hii hatua aliyofika simba...nyi ni wanawake???tp mazembe ni wanaume kama simba kwa nin mmeshindwa kupambana mnaitia aibu nchi?
Ambao hamjawahi chezea hivyo vichapo mliishia wapi..na nyinyi mlifika robo fainali??Pia ikumbukwe simba imechezea vichapo vikubwa sana ugenini! Jumla ya mabao ktk mechi za ugenini kuanzia hatua ya makundi ni 16 ( 5 + 5 + 2 +4)! Wastani wa goli 4 ktk kila mechi ! Duu ni karekodi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefurahi kupitilizaYanga wamefurahi kweli kweli....
Wenye vichwa vya panzi wanafanya karamu kufurahi Simba kutolewa,ila tu wanasahau kama Simba hii tishio imetolewa hatua ya robo fainali kwenye ligi kubwa kuliko zote Afrika. Imetolewa zikiwa zimebaki timu babe nane tu kati ya timu makumi zilizoanza hatua ya mchujo
Halafu imetolewa baada ya kuwafyeklea mbali wakali wenzie Nkana Fc, AS Vita na JS Saoura
Ingewezekanaje timu zote 8 ziende nusu?No,lazima kuna timu nne ziishie hapo,kama ambavyo Club bora kuliko zote Africa Al Ahl inaweza kutolewa usiku wa leo
Ikumbukwe zaidi kuwa tulijiwekea malengo saafi ya kufika hatua ya makundi,kwa hiyo wewe kichwa panzi jua hii ni Simba iliyovuka malengo
Kwa lugha rahisi Simba imeondoka kwenye level za Yanga imechumpa juu. Yanga atabaki kuwa mtani wa jadi tu
Nimekwambia lete mkund mbona simple tu kujua kama mimi ni chakula,Lazima utakuwa Chakula wee si kwa kulembua huko
-
Kawaulize Al Ahlitp mazembe ni wanaume kama simba kwa nin mmeshindwa kupambana mnaitia aibu nchi?