Ila biashara bwana

Hii iliwah mtokea mdogo wangu ana saloon yake nzur sana tena kubwa lakin kuna wakati wateja wake walikuwa wanampigia sm na kumuuliza mbona siku hyo kafunga wakati pako wazi
 
Tukisema biashara na ushirikina vinaendana tunaonekana wachawi sana
 
Unfanyaje biashara bila kinga mkuu? Sio lazima iwe ya ushirikina hata Mungu hulinda biashara yako hasa ukiwa mtoaji wa dhaka (10% ya faida unayopata)
 
Mtaani kuna sheli mpya imefunguliwa jana kachinjwa n'gombe akazikwa bila watu kula nyama
 
Unfanyaje biashara bila kinga mkuu? Sio lazima iwe ya ushirikina hata Mungu hulinda biashara yako hasa ukiwa mtoaji wa dhaka (10% ya faida unayopata)
Kweli kabisa,na pia kabla kufungua kuanza biashara lazima uweke Tambiko la Kimbingu kwakuiwekea wakfu hiashara yako.
Kama vile wasio na Mungu wanavyo weka tambiko nasisi wa Mungu tunamualika Mungu mwanzo Kabisa wa Biashara zetu kwakuziwekea wakfu.Hapo Ulinzi wa Mungu utatawala

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Hii iliwah mtokea mdogo wangu ana saloon yake nzur sana tena kubwa lakin kuna wakati wateja wake walikuwa wanampigia sm na kumuuliza mbona siku hyo kafunga wakati pako wazi
Hii iliwah mtokea mdogo wangu ana saloon yake nzur sana tena kubwa lakin kuna wakati wateja wake walikuwa wanampigia sm na kumuuliza mbona siku hyo kafunga wakati pako wu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…