Ila bodaboda ni baala!

Sijasema ww unatokwa na uchafu ila nimepita na maneno yako kuwa nalamba uchafu.

Binti akiwa msafi huko ndani bc kila kitu kinakuwa sawa.
Kule chini kuna bacteria wanaolinda uke, wewe unavyolamba unawatoa ukeni unawaweka mdomoni, we huogopiiii!!!
Kwa akili hizi tusiwacheke bodaboda kubebesha mafurushi kwenye boda zao🀸
 
Kuna wale wamenunua Tv 700k+ au friji 700k+ halafu wanaisafirisha kwa bodaboda πŸ˜‚ Dah binafsi sina huo moyo aisee πŸ™Œ
mkuu watu hawama utimamu wa akili..... imagine mtu anabeba chemical za maabara kwenye boda tena unakuta mtu kabeba chupa ya salphuric kaipakata najaribugi kuwaza akipata ajali inakuake maana ni mwendo wa kuungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…