ILA CCM WANA MAMBO BWANA

ILA CCM WANA MAMBO BWANA

Prince_Nurudin_Tz

Senior Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
172
Reaction score
133
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Screenshot_20241026-135403.jpg
 
Sawa tumekubali ni wapuuzi, lakini Onyesha kwanza hizo containers zilizopo hapo bandarini dar es salaam ili tuanze kuchangia...!! Unataka utuingize chaka kwa picha ya kiatu kimoja!! Utushike masikio sio...?!
 
Ni mtazamo wangu tu usikutishe mkuu
 
Back
Top Bottom