Prince_Nurudin_Tz
Senior Member
- Jun 28, 2024
- 172
- 133
Ni mtazamo wangu tu usikutishe mkuuSawa tumekubali ni wapuuzi, lakini Onyesha kwanza hizo containers zilizopo hapo bandarini dar es salaam ili tuanze kuchangia...!! Unataka utuingize chaka kwa picha ya kiatu kimoja!! Utushike masikio sio...?!
Duu Apo kwenye vyupi sasa sizani kama ni kweliHuu ni mwanzo bado kuna viberiti, nguo,pedi, chupi, sabuni, mitungi ya gesi na condom n.k.
Tutalajie mpka condom zata
Sela ❌️Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
View attachment 3135877