Sema mimi pombe nakunywa kuburudika tu , sifikiri kama nimekua mraibuπ€π―π―
Yeah, man invents his own destruction
Siwe nikakutenga katika masimango haya.. tunywe pombe mkuu... Hakuna namnaChangamoto nyingi tumejitakia mwenyewe
View attachment 3538491
Kabisa bwasheeSiwe nikakutenga katika masimango haya.. tunywe pombe mkuu... Hakuna namna
Tena majobless kama mimi ndo hatuna hata stress. Ukiamka asubuhi ukiamua kunywa pombe unakunywa pombe mpaka unajikuba.Kabisa bwashee
Aisee nimecheka sanaa aisee