Ila hii nchi sijui wanatuonaje! Tulidanganywa sana hasa kipindi cha nyuma

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Tulidanganywa sana

1. Eti kuna mtu alikuwa akipata mil 7 kwa sekunde kupitia EFD

2. Eti nchi inajenga miundombinu kwa hela za ndani wakati mikopo inakopwa kimyakimya

3. Eti tumeingia uchumi wa kati wakati ilikuwa uongo kabisa.

4. Kuna ajira elfu 13 zilitangazwa kwa mbwembwe sana kumbe ilikuwa uongo ni majina tu yaliyojirudia rudia ya walikwisha ajiriwa. Wapya hawakuzi elfu moj.


Hii nchi hii uongo ni jadi yetu.
 
Hapo unawazungumzia wale jamaa wa chama Cha kijani au cyo kamanda
 

Attachments

  • downloadfile-5.jpg
    49 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…