dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
Bwana.Fudenge umekaa na mkeo sebuleni,lakini mara kwa mara amekuwa akisimama kwenda jikoni na kurudi,mara akakuuliza...
Mkeo:"Hivi baba Chanja.."
Wewe:"Unasemaje?"
Mkeo:"Leo asubui ulisema tabia fulani kuhusu Chanja sikupenda...."
Wewe:"Ipi hiyo?"
Mkeo:"Ulisema eti juzi kaiba mkate,wiki iliyopita eti aliiba elfu mbili yako.Leo asubui umemnasa akitaka kuiba kipande cha Nyama.Ukauliza tabia ya Wizi kaitoa wapi maana kwenu hakuna mwizi mwizi...
Mkeo anaendelea🙁kwa sauti ya hasira)"Sasa unaposema kwenu hakuna tabia ya wizi wizi una maana amerithi kwetu siyo?"Baada ya kumaliza kuongea hayo mkeo anaondoka kwenda jikoni,lakini simu yake anaiacha jirani yako,Mara meseji inaingia,ww unaichukua na kuifungua,imetoka kwa mtu aliyeseviwa kwa jina la KICHORI.Kichori unayemfahamu wewe ni jamaa mmoja anayeishi mtaa wa pili,ambaye pia inasadikiwa ni mwizi kwenye majumba ya watu usiku.
Inbox:"Mama Chanja,leo mtt wangu alikwenda shule?"
unagundua licha ya msg hiyo,pia kuna msg nyingi za huyo jamaa,unafungua nyingine.
Outbox:"Baba Chanja,mista anadai eti huyu mtt wako mwizi mwizi,akasema kwao hakuna mwizi,nimekasirika sana."
Inbox:"Mjinga huyo mwambie si mtt wake tuone atafanya nini?Na mwaka huu utanipa Mwanangu nimlee mwenyewe,nahisi mumeo amemshashu2kia asiye akamuua bure."
Outbox:"Thubutu,amuue nimfunge.Ila kusema ukweli swt huyu mtoto mmefanana sana,kama chupa za bia jamani!"
Inbox:"Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe...mimi nina damu kali sana
ok kama ndo wewe utafanya nini?Mx