Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Hiki kimbunga kilitabiriwa na wengi,,, wapinzani walijisahau... Hawakusoma alama za nyakati... Sema tunaoumia ni sisi mashabiki mwisho wa sikuUnaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.
Najiuliza:
¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je, aliamua kuunga mkono jitihada kimyakimya?
Hebu nijuzeni
Amani
Hakufanya chochote jimboni kwanza na hiyo ni kutokana na kuwa chama tofauti na cha mtawala anapitwa hata na Jacob ex Meya juhudi zake zilikuwa zinaonekana anavyopambana na watawala kutetea haki