Ila nyumba za Chanika..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma

Nyumba kama Izo zimejaa sana pia mbagala chamazi na pembezo mwa viunga yake….na zinaumiza kwel macho na kutia kizunguzungu hapo bado hawajaweka mataa ya kuwaka waka
 
Kichwa changu hakiwezi, ntalala kwa jirani mwenye rangi... zisizidi tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…