Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Joannah naomba basi utelezi? Unajua nakukubali sana wewe..Aseee kidogo uzimie kwa take home ya 1.2M ๐
Bwashee tupo sisiUmenikumbusha Lemutz Rest in peace Brother!
Raha yao police analipwa 400k pesa ya chakula kila mwezi, kwahiyo ukijumlisha hapo uliyoiona sio haba atadondokea kwenye 700k+. Na huyo ni form 4.Me nishawahi kuona salary slip ya police ambae hana cheo chochote bado.. wacha tu aishangae hiyo
Sasa hapo ndio Kuna maisha gani ya maana anaekula? Yaani kahela hako ndio kanakubabaisha?Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Kwa Tanesco ni sawaMkuu, huo mshahara wa kawaida sana.
Hapa nilipo kuna dogo mmoja electrician wa veta grade II ana take home ya 1.5M
Kutafuta biashara na kukaa kwenye mfereji, inatakiwa uwe mtaalam wa location. Ukiiona location, ukiwa location, unajua kabisa kwamba location hii inatakiwa biashara fulani.Tafuta biashara, kaa kwenye mfereji. Huwezi babaishwa na mishahara ya 1m au 2m.
Hii kwa wanaofanya biashara wananielewa vizuri sana. Mimi nilishasahau kama kuna ajira mzee.
Ishu sio kufikisha tunambeza kwa kuona 1.7m ni hela ya kuhamaki kiasi hiko ๐Wahuni watakubeza mkuu wakati wapo wengi tu humu hawafikishi ata nusu ya hiyo take-home,
Jiandae kisaikolojia na majibu
70 % ya watumishi wa Umma hawapati hiyo hela.Uzur wa wana jf wakiwa kwenye keyboard hakuna kitu kikubwa kwao, hata ungesema home boy anakunja 10,000,000/= wangesema we hujaona home boy anakunja 15,000,000/= kwenye waleti
Acheni ujinga
Nimeipenda hiiWahuni watakubeza mkuu wakati wapo wengi tu humu hawafikishi ata nusu ya hiyo take-home,
Jiandae kisaikolojia na majibu
Kwa kweli mkuu mimi mtu akija akiniomba ushauri kati ya biashara na ajira, moja kwa moja ntamwambia ajira. Ajira ina security kubwa hasa ya serikali.Hongera mkuu
Paragraph ya mwisho nimeielewa sana mkuuKwa kweli mkuu mimi mtu akija akiniomba ushauri kati ya biashara na ajira, moja kwa moja ntamwambia ajira. Ajira ina security kubwa hasa ya serikali.
Biashara ili utoboe haswa unahitaji utulivu na uvumilivu mkubwa, kichwa kinapaswa kitulie kweli kweli mkuu. Biashara sio kitu rahisi kabisa kabisa mkuu.
Ila yote katika yote, kuajiriwa na kujiajiri inategemea na Mungu amekuandikia wapi, kama amekuandikia uajiriwe basi jishikize zaidi tu hapo huku ukitafuta biashara unayoweza kuifatilia na kuifanya vyema. Kuna watu Mungu amewatengenezea namna ya kujiajiri.
Hii ni mbaya sana saaana mkuu. Ukiona mtu anafungua biashara tu ili tu awe na biashara au kisa tu ana mtaji, hiyo biashara kukua katika viwango vikubwa sana sio rahisi kuliko yule anayejua ni nini anakifanya.Hii ndio Kauli mbiu awamu hii ...Kuna nyie mnafanya biashara na Kuna wengine wanaenda tu kufNya biashara kama mazoea
Ni sahihi, kujua hii location inahitaji kitu fulani sio jambo rahisi kama wengi wanavyodhani mkuu.Kutafuta biashara na kukaa kwenye mfereji, inatakiwa uwe mtaalam wa location. Ukiiona location, ukiwa location, unajua kabisa kwamba location hii inatakiwa biashara fulani.
Good. Kila mtu ale urefu wa kamba yakeRaha yao police analipwa 400k pesa ya chakula kila mwezi, kwahiyo ukijumlisha hapo uliyoiona sio haba atadondokea kwenye 700k+. Na huyo ni form 4.
Walevi mbona hawanaga noma ๐ฅHahhahaha tatizo la jf tunakadiriana ipo siku nitaposti kila ninachomiliki hapa dunia kuweka heshima nchi nzima kwa walevi , yani ukiwaongelea walevi, ukinifikiria mimi lazima uufyate gadeim
Sio utajiri, hata kama unalipwa laki 7 ila huo mshahara wa huyo dogo sio mshahara wa kuusifia kuwa unakula maisha.Jeyiefu bwana kila mtu tajiri๐๐๐๐๐