Mimi mtu akiniambia amefanya biashara akashindwa au hawezi kufanya biashara au haoni afanye biashara gani huwa SIIMDHARAU hata kidogo, nachukulia kawaida kabisa sababu najua pia Mungu ana namna ya kumuandikia mtu.Paragraph ya mwisho nimeielewa sana mkuu
Kabisa mkuu, mshahara wa 1.3m mshahara wa kawaida sana saaana. Yaani mwaka mzima hafiki hata 15m. Sio pesa ndogo ila sio mshahara mkubwa kama asemavyo mleta mada.Sio utajiri, hata kama unalipwa laki 7 ila huo mshahara wa huyo dogo sio mshahara wa kuusifia kuwa unakula maisha.
HIVI MKUU UKO SERIOUS?Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Yani 1.2 ndo unaona hela nyingi kweli serikalini mnateseka...Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Hizo taasisi ndiyo zinanivuruga aisee. Perdiem yote hiyo wengine wanataabika na take-home ya kuchechemeaGood. Kila mtu ale urefu wa kamba yake
Mwingine hiyo ni perdiem ya kikao kimoja tu alichokaa masaa ma3 π
Dunia haina usawa..
Bro hiv anauziwa sukari kg 1 sh 1000?Raha yao police analipwa 400k pesa ya chakula kila mwezi, kwahiyo ukijumlisha hapo uliyoiona sio haba atadondokea kwenye 700k+. Na huyo ni form 4.
Hii pesa ndogo sanaRaha yao police analipwa 400k pesa ya chakula kila mwezi, kwahiyo ukijumlisha hapo uliyoiona sio haba atadondokea kwenye 700k+. Na huyo ni form 4.
Au sio!!!Sio utajiri, hata kama unalipwa laki 7 ila huo mshahara wa huyo dogo sio mshahara wa kuusifia kuwa unakula maisha.
Mkuu umeandika nilichotaka kuandika.Tafuta biashara, kaa kwenye mfereji. Huwezi babaishwa na mishahara ya 1m au 2m.
Hii kwa wanaofanya biashara wananielewa vizuri sana. Mimi nilishasahau kama kuna ajira mzee.
Kuna dogo Bogi juzi kati kati kamaliza huko salary anayotafuna Kwa mwezi ni kisanga. Huko jeiwii Kuna Mshahara wa Gwanda na Taaluma ni noma sanaLuten Usu??
pamoja Santa uone kwenye faili ππKuna dogo Bogi juzi kati kati kamaliza huko salary anayotafuna Kwa mwezi ni kisanga. Huko jeiwii Kuna Mshahara wa Gwanda na Taaluma ni noma sana
Hahaha, mkuu usimrushe roho kijana wa watu. Atajinyonga π.Nimeshangaa sana na hiyo pesa nimetoka kuacha baa sa hiiπ
Usichoke mama yengu.Hahaha nikiwaza boss wangu anakula 25m per month nachoka