Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.

Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.

View attachment 3580933
Huu ni ujinga wa hali ya juu, hiyo pesa yote si inaishia kwenye mafuta, sasa anapata wapi pesa ya kula na familia? Kama huku ndio mnaita kula maisha, aisee, sijui itakuwaje
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu, hiyo pesa yote si inaishia kwenye mafuta, sasa anapata wapi pesa ya kula na familia? Kama huku ndio mnaita kula maisha, aisee, sijui itakuwaje
Wenye uwezo wa kuteketeza hiyo pesa kwenye mafuta ya gari ni wachache sana bro..

Kwangu mimi huo mshahara sio mkubwa sana lakini haiondoi fact kuwa si watu wengi bongo wanapokea kiwango hicho..

Kwa hiyo namuelewa jamaa, pengine yeye kwa level zake ni mishahara ya chini ya M1.
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…