kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Tulizusha kuhusu job nalo time timeangukia pua. Nani atatuamini tena.
Mo atuachie timu siasa za mpira hazina nafasi
Mo atuachie timu siasa za mpira hazina nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatukanwa sana. Lakini ulicho ongea kina ukweli kwa 99%.Tulizusha kuhusu job nalo time timeangukia pua. Nani atatuamini tena.
Mo atuachie timu siasa za mpira hazina nafasi View attachment 2589377
Umelezea uhalisia wa maisha yako ili kuhisi tunalingana ujifariji, pole nyie ndo mnfanya tunaitwa mipang'ang'a mbumbumbuUnakuta hapo ulipo hata mia hauna! Wazazi uko kijijini wamevaa matambala hata kuwanunulia mitumba uwezo huo huna!!! Bando lenyewe unatumia WiFi ya kanisa kwakua unapanga kachumba kamoja pembeni ya kanisa!! Jitafakali ndugu fanya kazi za halali achana na story za kwenye vijiwe vya kachori.