Ila Trump: Nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya USAID imeandika: Thank you for your service

Ila Trump: Nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya USAID imeandika: Thank you for your service

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya USAID imeandika: Thank you for your service.

Screenshot_20250206_232448_Chrome.jpg


 
Nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya USAID imeandika: Thank you for your service.

View attachment 3227281

Hawa jamaa wanajitengenezea enemies kila kona. Nadhani hawajui kwamba kuna watu wako tayari kujitoa mhanga ilimradi binadamu wengine waishi bila kufedheheshwa. Ngoja tuone hii safari ya Trump na Musk itaishia wapi. >>>https://www.cnn.com/2025/02/04/politics/musk-washington-chaos?cid=ios_app<<<
 
Asee kuna watu wamezoea msaada mpaka wanaona ni haki yao.

Sasa uadui wa nini?
Maadui sio wapokea misaada; ni civil servants wa Marekani wa agencies zote! At least watumishi million mbili wamepokea emails za kuwapa offer ya wao wenyewe kujiuzulu by February 6, 2025. Hata hivyo, Mahakama imetoa temporary injunction mpaka jumatatu, hearing ya shauri itakapofanyika! >>>Judge delays deadline for federal workers to accept Trump administration’s resignation offer - NPR Federal judge pauses deadline for Trump administration's 'Fork' resignation offer until Monday — NPR<<<
 
Hawa jamaa wanajitengenezea enemies kila kona. Nadhani hawajui kwamba kuna watu wako tayari kujitoa mhanga ilimradi binadamu wengine waishi bila kufedheheshwa. Ngoja tuone hii safari ya Trump na Musk itaishia wapi.
Huwa wanasema Mchina, Mrusi na waarabu ni wazuri.
Tuone nao mchango wao.
 
Back
Top Bottom