WANGAMBA
Member
- Jul 21, 2022
- 64
- 102
Ila UTT ni bonge la mchongo mwaka jana nimevunja kibubu changu cha chuma nikakuta m8 na usheee pesa nilijibanabana mwenyewe hamna kilichoongezaka,
Mwaka huu 15/05/2022 nikafungua account UTT nilianza na laki 5 na baada ya hapo nikaendelea na utaratibu kama naweka kwenye kibubu nikipata 10k au 20 naweka kulingana na harakati zitakavyokua mpaka muda huu kuna ongezeko la sh 5117 pesa ambayo ningeweka kwenye kibubu nisingeipata hata buku wadau kama itakupendeza ifanye UTT AMIS iwe kibubu chako