Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

Kuna la kujifunza hapa ngoja niweke kambi,,
 
Huu uzi ubarikiwe. Umenifanya nimeongeza kitu leo kwenye maisha yangu ya kusave pesa.

Nlikua nawaza nawezaje kusave pesa nje a acc yangu ya Mshahara. Na bila kufungua acc nyingine. Maana acc hua zinakua na charges sake.

Sasa leo nimepata mwanga. Tayari nimefungua acc UTTAMIS na kuweka ama 30k nione mambo yanaendaje.

NB: Mkiwa na vitu vizuri muendelee kushare na sisi hakika mnafanyika nuru katika maisha yetu.

Barikiwa sana mleta maada
 
Uvivu wa kufikiri na kutafuta maarifa zaidi bado ni janga kwa taifa hili.

Hongera mtoa mada, siyo wote watakuelewa.
Sidhani kama ni uvivu Yani inawezekana kabisa kuna mtu hajawahi hata kuiskia hiyo UTT ss Kwa mtu kama huyo akisoma namna alivyoandika mtoa mada hawezi kuelewa.
Mtoa mada ana Jambo zuri sema alivyoliandika n kama kaandika Kwa kukurupuka angetuelezea vzr tuelewe.
 

Mi mwenyewe nimevutiwa na huo uwekezaji ila sasa kuelewa namna ya kuanza nimuone nani mawasiliano hamna,nijisajili vipi, ofisi iko wapi? sielewi kabisa lengo lake ni lipi, ni kuturingishia kawekeza au ni tangazo kapost? sielewi kabisa ila code imekuwa ngumu kwangu kuifungua, naona kama anaruka ruka tu!

Atoe elimu kama ana nia ya kusaidia au kuelewesha members kuhusu UTT.
 
Nenda YouTube utapata almost kila kitu unachohitaji kufahamu
 
Unataka utafuniwe kila kitu? Bando hauna?
 
Yani imeongezeka elfu tano mia moja kumi na saba?

Kama ni hivyo sijaona maajabu hapo. Labda uweke maelezo upya
 
Yani imeongezeka elfu tano mia moja kumi na saba?

Kama ni hivyo sijaona maajabu hapo. Labda uweke maelezo upya


Amekwambia tumia utt kama kibubu maana yake ni kama huna mpango wa kuitumia pesa unahitaj kuiweka kama akiba badala ya bank au chini ya godoro weka utt itakuwa inaongezeka pia japo shilingi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ