Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
[emoji23]aiseeeAtakumbukwaje wakati bikra hanaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuja na kiki ya bikra feki ya bukoba hhahaa nanI amkumbukee.. tuache kumvuka vitu vya maana tukamkumbuke mtu anayetangaza ujinga mitandaoni
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Alikuja na kiki ya bikra feki ya bukoba hhahaa nanI amkumbukee.. tuache kumvuka vitu vya maana tukamkumbuke mtu anayetangaza ujinga mitandaoni
Huyu ndo alikuwa analazimisha fani Kama pilipili
Ila kusema kweli hawajawahi kunichekesha hawa watu, sijui ni vile nina kiwango kikubwa cha stress kuzidi uwezo wao wa kuchekesha[emoji848]
HahhaaaHuyu ndo alikuwa analazimisha fani Kama pilipili
Mimi wala.hata sikumuelewaa ni km nilikuwa nacheki vichekesho ya kichina ambayo havijatafsiriwa.Ivi kuna mtu mwenye akili timamu alikuwa anamuelewa yule jamani
KUMBE NA WEWE MKUU ULINOTICE HII KITU HAKUWA NA UWEZO KABISA LAKINI NASHANGAA WATU WANAMUELEWAHuyu ndo alikuwa analazimisha fani Kama pilipili