Ila Wabongo tunajua kusahau, tumeshamsahau hadi Ebitoke

Wasanii warudi shule ili vipaji vyao wazidishe ubunifu na kupunguza kuchuja
 
Ila kusema kweli hawajawahi kunichekesha hawa watu, sijui ni vile nina kiwango kikubwa cha stress kuzidi uwezo wao wa kuchekesha[emoji848]
hata mimi mwenyew hajawahi kunichekesha kingine hii fani ni ngumu watu saa hii wanahali mbaya za kimaisha wakumchekesha ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…