mimi mwenyewe niliishatongozwa na wanawake zaidi ya 3 sababu kubwa wanapenda mwili wangu mkubwa hasa kifua kilivyojengeka na siyo kwamba watu wote wenye miili mikubwa wana vibamia km kuna m2 anabisha aje kwangu ahakikishe halafu aje awahadithie.
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over
I will pm you! Hahahaha
Hahaha haya nlikua naona aibu kukuanza hahahahMbona kimya mpaka sasa hv,au umesahau nini? Ngoja niku-PM mwenyewe sasa!Ha ha haaaaa!!
mkuu,sasa kama hata ukimtongoza anakukataa coz of your umbo,hiyo dozi utaitolea kwa nani?afu cha ajabu hata wadada wenye maumbo madogo nao wanashobokea hao wakaka wenye maumbo makubwa.