ujue mbaya boss kamdanganya dada wa watu mtoto ni mmoja wamejenga wote tena mdada ndo kachangia zaidi maana jamaa hana kitu sema kiwanja kilikuwa chake. sasa toto tisa bado anaendelea huyu dada ana kitu kweli hapo?sijui kwa nini
lakini watanzania huwa hawaelewi kabisa vitu vya msingi na taarifa zinazotangazwa mara kwa mara
takwimu rasmi ni kuwa watanzania wenye 'matatizo ya akili ' ni zaidi ya milioni moja na nusu.....
now go figure....
sijui kwa nini

Dayuuum! Jamaa inaelekea mbegu zake ziko potent kinoma noma.
Ana shabaha kama Mkwawa,lol!
Na haogopi ngoma!
Dayuuum! Jamaa inaelekea mbegu zake ziko potent kinoma noma.
Haswaaaa....kama mtu unao uwezo..zaa wengi uwezavyo. Vitabu vyote vya dini tunavyoviamini vimesupport hili suala la kuzaana!!Zaeni mkaijaze dunia..
....Hehehehehe NN usikute kabambikiwa labda watoto wake wa kweli ni watatu tu au wanne
:focus: