Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Kwa nin tena?
Tulimwambia sheria za group letu kila member inabidi atume picha tatu tupate kufahamiana kakaanza kuleta visingizio + michambo nikakapiga block halafu nI mwanaume yule mshkaj ila anajifanya dem tena pisi kalii inayoishi masaki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unafurahisha sana ety anajifanya demπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mim ni dem ban wewe yule ni man sema ni rfk angu
Kumbe unamjua halafu naskia huwa anawagegeda sana madem wa fb kwa zile shobo zake wanamuona mwamba katoboa maisha kumbe ni kapuuzi flani tu kasiko hata na maana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mim nina aina zangu napenda sio kila mwanaume ni aina yangu
 
Angalia mkuu asije kuwa alishakugegeda nawewe sema unakuja kujikosha tu hapa
 
Zamani nilikuwa najua new katoto na mdada fulani bonge bonge hv pisi kali halafu maisha safi ila nilipokuja kuonyeshwa new katoto aisee nilichoka🀣
 
Ni dogo mmja alikia na anauza viatu sa hv anaduka anauza decor na vidudedude
 
Na make up unafanya bure na picha bureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na nyoko nyoko kibao daah..ndio maana alivyojichanganya akajoin kwenye group akaanza kuleta vi ushauri vyake na vile nilishaskia tetec kuwa ni mwanaume nkamwambia mama tulia kwanza rule namba one tuma picha tatu atutaki ngonjera haap
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Una balaa wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…