Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Una balaa wew
Halafu kwenye visinia mbona akajawah kutokea kila siku utaskia new katoto kapata dharura ilitakiwa tuwe nae humu siku ya leo ila yupo kwenye kisinia cha 30k huko masaki ila mwez ujao tutakuwa nae inshalaah.. na nyoko nyoko kibao ukifika mwez ujao pia mtapangwa hivo hivo wale jamaa washenz sana
 
πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚Boss yuko masakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kweli bro
 
Ila mwanamke anaefosi umtongoze huwa hawana ladha ni kama kuku la kisasa tu ni undezi
 
Huwezi ishi bila kumeeer
Am woman huo ni udhaifu wenu milele[emoji1787][emoji1787]
Sijawahi endekeza wanawake hata uwe mzuri kiasi gani napenda tabia na hulka fulani hivi uzuri ni sifa ya mwisho ingawa ni compusory
 
Na kweli mkuu hata huyu miguu ni fimbo sema tu yeye ni mweuc na anavichunusi vingi nadhani ajapigwa mashine muda mrefu
Sio kila comment unajibu mzee, wakati mwingine unanyuti tu. We kama huna ufagio nae mpotezee, lakini sio kumcharazia ki hivyo


Vijana wa siku hizi mmekuwa vipapa sana! Hamna makoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…