Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hivyo vinatibika mkuu kwa walimu wazuri wa soka ......ila namkubali pia ni beki mzuri wa kulia na ana spirit sana ya kupambana safi..Je, ball control anayo au huwa anakimbia tu ilimradi ameenda mbele? Hata mimi mwanzoni nilikuwaga namuona bonge la mchezaji, ila baadae nikagundua ni kweli ana nguvu na mbio ila control na umaliziaji wake wa krosi siyo mzuri!
Huyu kaseke mwananchi wa zamani anajua kupiga penati na anajiamini sana .Usimtathimini kwenye mechi yenye presha kama hiyo, Jana hata Kaseke alijitutumua kama Kevin De Bruyne.
Ukitaka kumfuatilia angalie akicheza na level zao kama kagera sugar, coastal union n.k
Utakuja kuamini ni mchezaji wa kawaida sana huyo.
Duke abuyeMdiye aliyemfanya onana aonekane hana madhara, pia upande wa kushoto kuna jamaa alikua anapokonya mipira miguuni mwa wachezaji wa simba na kuzima mashambulizi anaitwa nani yule
Malouf TchakeiWachezaji wapo hapa wazur tu kijir na yule chuko Morris
Kijiri binafsi nimemfatilia mechi nyingi tu dogo yuko vzr , anza kumfanyia scoutingUsimtathimini kwenye mechi yenye presha kama hiyo, Jana hata Kaseke alijitutumua kama Kevin De Bruyne.
Ukitaka kumfuatilia angalie akicheza na level zao kama kagera sugar, coastal union n.k
Utakuja kuamini ni mchezaji wa kawaida sana huyo.
Simba wachezaji wa ndani sijui wanaokota wapi, hata wa nje nao wanababaisha kusajili kwa kifupi uongozi wa Mangungu , try again na tapeli wao mo umefeli.
Mbio na nguvu pekee havitoshi tena kwa kukamia mechi.... Aongeze maarifa na ufundi atafika levo za hao unaejaribu kumfananisha naeKwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.
Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.
Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.