Ila Zahera anatuoanaga wajinga sana na uongo wake kuhusu Congo,angalia huu uwanja wa ligi kuu

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
vitee.PNG
 
View attachment 1067323
Hii ndio sababu ya kupigwa 5 bila? Kwahiyo kule Lubumbashi kwa TP Mazembe tutegemee 7 bila?
 
Kama Timu zinacheza hapo zikija kwenye viwanja vizuri zinateleza tuu...Sundown mechi yao na waarabu ya majuzi walikata nyasi zote uwanja ukawa kipara tuu mwarabu alipotea kabisa aisee Afrika bila fitna za mpira hausongi mbele...
 
Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
View attachment 1067323
Ata mimi nili msikia jamaa ni muongo sana. Kuna siku alisema Makusu hawezi kuja kucheza Bongo kwa kua viwanja ni vibovu! Tz viwanja si vizuri ila kwa Africa tuna nafuu. Ukicheck ligi za Ghana, ivory cost, na nchii nyingi zenye majina kwenye soka bongo tuna nafuu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Simba watapigwa 6 -0 ila wakija kupewa mgao wao kutoka CAF wakitua hapo dar itawatafuta viongozi wa 'timu ya wananchi' iwape hata mil 100 ili wapunguze utegemezi kwa Tasaf.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Rostam Aziz yule tajiri jasusi anasubiri uchaguzi then aje kuwekeza mabilioni Jangwani..hayo mambo ya TASAF tanieni mwisho mwisho..."Yanga ni lidude likubwa"Dk Harrison Mwakyembe
 
Hahaaah mshamgeuka manji mara hii...nani mwenye akili timamu apoteze hela zake kwa litimu la hovyohovyo lile
 
Wewe mdogo(kwa lafudhi ya kikongo) walikuwepo Wakina Boby soap nafikiri mzee Viran kama sikosei..akaja Gulamali..kaja Manji..anakuja Rostam..Yanga ndio timu kubwa TZ ..Nenda bank ya posta kadi za bank milioni nane zilichukuliwa na watu zenye nembo ya Yanga..sasa nyie mikia kujaza uwanja wa Taifa watu elfu sitini mnajiona mko wengi ni hamasa tu..unakumba makundi CAF yule msemaji alisema "Big club in Tanzania"nyie juzi mkaitwa "underwear"...Siasa za Bashite zimeivuruga Yanga ila tunakaa sawa kama inauma chomoeni
 
Hahaaaah bakuli fc...makwasukwasu fc...vyura fc....ombaomba fc...kwanini hujasema baada ya manji anakuja dangote or bilgert sahv...hahaaaah kilichouma mkashindwa kuchomoa ni kile kimoja cha juzi...
 
Rostam Aziz yule tajiri jasusi anasubiri uchaguzi then aje kuwekeza mabilioni Jangwani..hayo mambo ya TASAF tanieni mwisho mwisho..."Yanga ni lidude likubwa"Dk Harrison Mwakyembe

Hamna shida mkuu cha msingi for the mean time lazima Yanga isindikizwe na Tangazo hili,'ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Tasaf'.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kule kwetu ku Congo, timu za mchangani zinacheza kwenye meli za kifahari cruise ship huo uwanja pichani ni wa Azam FC ya Tz
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hahaaaah bakuli fc...makwasukwasu fc...vyura fc....ombaomba fc...kwanini hujasema baada ya manji anakuja dangote or bilgert sahv...hahaaaah kilichouma mkashindwa kuchomoa ni kile kimoja cha juzi...
Huwezi kuona tofauti..sisi tukiwa wazuri tunakupiga home and away..next season inarudi..jiandae kisaikolojia
Thamani Yanga.jpeg
 
Huwezi kuona tofauti..sisi tukiwa wazuri tunakupiga home and away..next season inarudi..jiandae kisaikolojiaView attachment 1067880
Hahaaah kwa hiyo huyo kichaa wenu ndo anavyowadanganya...ok ngoja nikuongezee sasa ufurahi...nasikia bilgert na dangote nao wanakuja kuwekeza yanga..furahi sasa
 
Back
Top Bottom